Huduma ya Usajili wa Jina la Biashara - BRELA
Same Day
Full Warranty
Unahitaji msaada wa kusajili jina la biashara yako kupitia BRELA? Tunatoa huduma ya kitaalamu ili kuhakikisha mchakato wako unakamilika haraka na kwa usahihi.
Huduma Zinazojumuishwa:
β
Kukagua upatikanaji wa jina unalotaka kusajili.
β
Kuandaa nyaraka zote zinazohitajika.
β
Kufanya usajili wa jina kupitia mfumo rasmi wa BRELA.
β
Kufuatilia na kukujulisha maendeleo ya usajili.
Faida za Huduma Zetu:
- Kupunguza usumbufu wa kushughulikia mchakato mwenyewe.
- Hakikisha jina lako limesajiliwa kihalali.
- Mawasiliano ya haraka na taarifa za maendeleo
π Wasiliana nasi kupitia WINGA leo na tuchukue jukumu la kuhakikisha jina la biashara yako linasajiliwa kwa urahisi na uhakika.