Tunatoa huduma ya usimamizi ujenzi wa nyumba (Project supervisor)
7-Day Notice
Full Warranty
Tuna uzoefu wa miaka 10 (kumi) wa kisimamia ujenzi wa nyumba za kupangisha, frame za biashara, nyumba za kuishi za chini na za ghorofa, tuna mafundi wenye uzoefu na kazi na designers wazuri wa muonekano wa ndani wa nyumba. Tuna hakikisha ujenzi unaisha kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu kadri ya bajeti yako inavyoruhusu. Pia tunatoa ushauri wa maswala ya majengo na ujenzi kwa ujumla. Tutafute leo kupitia WINGA