HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA NA MAZINGIRA YAKE KWA UJUMLA
7-Day Notice
Full Warranty
Tunafanya usafi wa nyumba na mazingira yake kwa ujumla kwa bei nafuu,, basic ni 50000 lakini kulingana na ukubwa basi maelewano yatakuwepo huenda iongezeke au ipungue karibuni sana