Nafanya huduma ya Uhakiki wa Cheti cha Kuzaliwa - RITA (Kwa Ajili ya NIDA)

Same Day
Full Warranty

Huduma ya Uhakiki wa Cheti cha Kuzaliwa – RITA (Kwa Ajili ya NIDA)

Je, unahitaji kuthibitisha cheti chako cha kuzaliwa kupitia RITA kwa ajili ya maombi ya NIDA? 🚀

Huduma ninayotoa:
✅ Kukusaidia mchakato wa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa.
✅ Kufuatilia hadi uhakiki ukamilike.
✅ Kuhakikisha nyaraka zako zinasafirishwa au kusimamiwa kwa usalama.

Fanya uhakiki wako kwa urahisi na uhakika kupitia WINGA

Sign In

Register

Reset Password

Please enter your username or email address, you will receive a link to create a new password via email.