Tunatoa huduma ya kufatilia leseni ya biashara
Same Day
Full Warranty
Natoa huduma ya kufuatilia leseni ya biashara kwa haraka, rahisi, na kwa uaminifu, nikihakikisha wateja wangu wanapata vibali vinavyohitajika kuendesha biashara zao kihalali. Huduma yangu inahusisha kuwasaidia kuandaa nyaraka muhimu kama TIN, cheti cha usajili wa biashara, na thibitisho la anwani, pamoja na kujaza fomu za maombi kwa usahihi. Pia, nafanya ufuatiliaji katika ofisi za mamlaka za serikali za mitaa kuhakikisha leseni inapatikana kwa wakati unaotakiwa. Huduma hii inalenga kuokoa muda wa wateja wangu na kuwaondolea changamoto zinazoweza kuwakumba katika mchakato mzima wa maombi