Jinsi ya Kuongeza Manual Price Tiers kwa Huduma Yako kwenye WINGA

Kuongeza price tiers (vipengele vya bei) ni njia nzuri ya kuwapa wateja wako chaguo tofauti kulingana na bajeti na huduma wanazohitaji. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuongeza price tiers kwa huduma zako, tukitumia mfano wa Website Development:


Hatua 1: Nenda kwenye Sehemu ya ” Tiers”

Baada ya kuingia kwenye akaunti yako ya WINGA na kuanza kutuma huduma unayotoa ,katika vepengele vya kujaza kukamilisha huduma unayotoa utaona sehemu ya Tiers. Hapa ndipo unapotengeneza vifurushi tofauti vya bei (Basic, Standard, Premium) kwa huduma yako.


Hatua 2: Unda Package ya Kwanza – Basic

Basic ni kiwango cha chini zaidi kinachofaa wateja wanaohitaji huduma za msingi.

  • Title (Jina): Basic
  • Price (Bei): Tsh 200,000
  • Description (Maelezo): Basic website setup with 3 pages (Home, About, Contact). Includes a responsive design and basic SEO.

Bonyeza Add Item baada ya kujaza maelezo haya.


Hatua 3: Unda Package ya Pili – Standard

Standard ni kiwango cha kati kinachojumuisha huduma za ziada kuliko Basic.

  • Title (Jina): Standard
  • Price (Bei): Tsh 400,000
  • Description (Maelezo): Fully customized website with up to 7 pages. Includes responsive design, SEO optimization, and integration of contact forms.

Baada ya kuongeza maelezo haya, bonyeza Add Item.


Hatua 4: Unda Package ya Tatu – Premium

Premium ni kiwango cha juu zaidi kinachofaa wateja wanaohitaji huduma kamili na za kitaalam zaidi.

  • Title (Jina): Premium
  • Price (Bei): Tsh 800,000
  • Description (Maelezo): Advanced website with unlimited pages, e-commerce integration, advanced SEO, analytics setup, and 1-month maintenance support.

Bonyeza Add Item mara baada ya kuandika maelezo haya.


Hatua 5: Hakikisha Maelezo ya Packages Yako

Angalia tena maelezo ya price tiers zako tatu ili kuhakikisha kila moja inaeleweka vizuri. Hakikisha unatoa maelezo ya wazi kwa kila kiwango, na kila huduma inayojumuishwa.


Hatua 6: Hakiki na Chapisha

Mara baada ya kumaliza kuongeza price tiers zako, hakikisha kila kitu kipo sahihi. Bonyeza Publish ili huduma yako iweze kuonekana na kuvutia wateja.


Mfano wa Listing ya Huduma: Website Development

  • Service Title:
    “I Will Develop a Professional and Responsive Website for Your Business”
  • Category:
    Creative and Digital → Website Development
  • Price Tiers:
    1. Basic: Tsh 200,000 – Basic website setup with 3 pages (Home, About, Contact). Includes a responsive design and basic SEO.
    2. Standard: Tsh 400,000 – Fully customized website with up to 7 pages. Includes responsive design, SEO optimization, and integration of contact forms.
    3. Premium: Tsh 800,000 – Advanced website with unlimited pages, e-commerce integration, advanced SEO, analytics setup, and 1-month maintenance support.
  • Service Image:
    Picha ya mfano wa tovuti iliyo tayari au screenshot ya design ya kipekee.
  • Service Description:
    “I will design and develop a professional website that meets your business needs. Whether you need a simple informational site or an advanced e-commerce platform, I deliver quality work tailored to your goals. All websites are responsive, SEO-optimized, and include support for analytics setup to track your website performance.”

Faida za Kuweka Price Tiers

  1. Wateja Wanapata Chaguo: Wateja wanaweza kuchagua huduma inayofaa kulingana na bajeti na mahitaji yao.
  2. Kuongeza Mapato: Vipengele vya bei tofauti hukupa nafasi ya kuvutia wateja wa viwango vyote.
  3. Kuhakikisha Uwazi: Maelezo ya price tiers yanawapa wateja taarifa ya wazi juu ya huduma wanayopata kwa kila bei.

Sasa unaweza kuunda na kuchapisha huduma zako kwa mafanikio kwenye WINGA. Weka price tiers zako vizuri ili kuvutia wateja na kupata mapato zaidi. Anza sasa kwa kubonyeza hapa:
👉 Submit Listing on WINGA

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Sign In

Register

Reset Password

Please enter your username or email address, you will receive a link to create a new password via email.